CMEA yatoa takwimu ya redio na runinga zinazocheza nyimbo nyingi Tanzania

12974403_802515133225257_6646937415794539027_nCMEA kupitia facebook, walipost hiyo hapo juu na kuandika:
Tambua vituo ishirini bora vya runinga na redio vilivyoongoza kucheza Muziki kwa wingi mwezi Machi, Choice FM yashikilia nafasi ya kwanza ikifuatiwa na TBC International.12998623_805018622974908_2015643507876834573_nUwiano wa idadi kati ya nyimbo zilizochezwa na matangazo yaliyorushwa katika luninga zetu hapa nchini kwa mwezi Februari. EATV imeongoza kwa kucheza nyimbo nyingi kuliko matangazo ikifuatiwa na Clouds TV, Zilizobaki zinaongoza kwa upigaji wa matangazo.13012799_805019946308109_3457103951552612697_nUwiano wa uchezaji nyimbo na matangazo katika stesheni za redio jijini Dar es Salaam kwa mwezi Februari huku Clouds FM na RFA zikiongoza kwa kurusha matangazo. Stesheni zilizobaki zinapiga muziki kwa asilimia kubwa kuliko matangazo.

Maoni