John Legend na mke wake, Chrissy Teigen wamepata mtoto wa kike, Luna Simone Stephens, aliyezaliwa Alhamis (Apr. 14).
Wawili hao wametangaza kuhusu kupata mtoto Jumapili ya jana.
Teigen alitangaza kuwa mjamzito October mwaka jana baada ya kujaribu kupata mtoto kwa muda.
Kupitia Twitter, John ameandika: Our new love is here! Luna Simone Stephens, born on Thursday, the 14th. We couldn’t be happier!
Maoni
Chapisha Maoni