Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade ameonekana kwenye toleo jipya la jarida la OnoBello akiwa amevalia nguo za kuogelea. 1 Picha hizo zimesambaa sana mtandaoni na zimeonekana kuwavutia mashabiki wengi wa staa huyo ambaye kwa sasa anatangaza album mpya, Mama Africa. Osha macho na wewe. 2-1 44 31
Msanii kutoka Nigeria Yemi Alade ameonekana kwenye toleo jipya la jarida la OnoBello akiwa amevalia nguo za kuogelea.
1
Picha hizo zimesambaa sana mtandaoni na zimeonekana kuwavutia mashabiki wengi wa staa huyo ambaye kwa sasa anatangaza album mpya, Mama Africa.
Osha macho na wewe.
2-1
44
3

Maoni