Natamani kufanya kazi na Vee Money – Pam D

Msanii wa Bongo Fleva, Pam D aka Pam Daffa amesema kuwa anatamani kufanya kazi na Vee Money.pamd 1Akiongea na chanzo, Pam D:
Sasa hivi natarajia kuachia wimbo wangu mpya na Nay wa Mitego, nadhani utatoka kama baada ya wiki mbili hivi, jina la wimbo kwa sasa hivi siwezi kusema, ila ni wimbo ambao unahusu mapenzi. Natamani sana kufanya kazi na Vanesa Mdee, ni msanii ambaye namuona ameanza vizuri sana na pia naona ni msanii mwenye kujituma sana na mwenye mafanikio. Naona kila siku anazidi kusogea mbele, nilishawahi kumwambia kuwa nataka kufanya naye, alifurahi sana.”

Jiunge na muziki4life.blogspot.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata habari zote za town!

Maoni