Nick Minaj awakubali ‘Getho kids’ wa Uganda

Rapper Nick Minaj ameonyesha hisia zake baada ya kuona video ya watoto wa Uganda ‘Getho kids’ wakicheza wimbo Justin Bieber ‘Sorry’nicki-minaj-inline-d21937f3-8f58-4401-81af-bfd66ddf58de‘Getho kids’ wamekuwa maarufu sana baada ya kucheza katika Video za msanii Eddy Kenzo ya Sitya Los
“They are so amazing,” Nick Minaj ameandika kwenye ukurasa wake wa Facebook wenye followers zaidi ya Million 42.get

Maoni