Show ya Rihanna na Drake Toronto yatia fora (Video)

Rihanna na Drake wana lao jambo. Wakati Riri akiwa Toronto nchini Canada ‘ANTI World Tour’ aliungana na rapper huyo kutumbuiza wimbo wao Work. Angalia walivyokamua.

Maoni