Staa wa muziki, Diamond Platnumz amenunu nyumba ya kisasa iliyokuwa ikiuzwa milioni 95.
Kwa mujibu wa dalali aliyouza nyumba, amedai nyumba hiyo yenye ukumba wa eneo square mita 600, ipo Salasala jijini Dar es salaam na ina vyumba viwili ambavyo ni master.
Kupitia ukurasa wa instagram wa Diamond, ameandika:
Ilibidi niongeze kibanda kimoja jana…. thanks @dalalimwanamke na Mama ya platnumz @rahdh_one kwa kulifanikisha hili.
Maoni
Chapisha Maoni