Video za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi youtube miezi 3 ya kwanza ya 2016

Bongo5 imekuandalia video kumi za wasanii wa Tanzania zilizoangaliwa zaidi katika channel za youtube katika kipindi cha miezi 3 ya kwanza ya mwaka 2016. Ni video zilizotoka kuanzia Januari 1 hadi Machi 31.gKatika list hii, AY anaongoza kupiti video yake ya wimbo, Zigo Remix, aliyomshirikisha Diamond. Harmonize anashika nafasi ya pili kupitia video yake ya wimbo,’Bado’ aliyomshirisha Diamond. Pia Diamond anashika nafasi ya tatu kupitia video yake ya wimbo, Make Me Sing, aliyoshirikiana na AKA, Ali Kiba ameingia na video mbili, moja ni ya wimbo Unconditionally Bae, aliyoshirikiana na Sauti Sol, na nyingine ni video ya wimbo wake, Lupela.

AY feat. Diamond Platnumz – Zigo Remix

5,768,007 viewsHarmonize ft Diamond – BADO

3,089,644 viewsAKA & Diamond Platnumz – Make Me Sing

3,033,900 viewsSauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae

1,448,382Alikiba – Lupela

1,485,336 views
Navy Kenzo – Kamatia

754,544 viewsVanessa Mdee – Niroge

483,626 viewsMwanaFA – Asanteni kwa Kuja

329,536 views

Dogo Janja – My Life

370,705 views

Fid Q ft Taz – WALK IT OFF

198,125 views
Msami – Mabawa

122,916 views

Maoni